Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Mei 15, 2017

Shakina Pre and Primary English Medium School

Picha
Hii ni Shule ya Awali na Msingi SHAKINA , yenye namba ya usajili AR. 03/7/EA021 & AR. 01/7/021 iliyopo Kikatiti inawatangazia nafasi za masomo kwa mwaka 2024 (DARASA LA AWALI HADI DARASA LA SABA) NAFASI ZILIZOPO KWA MWAKA 2024 ni:- Darasa la 1, Darasa la 2, Darasa la 3, Darasa la 4, Darasa la 5, Darasa la 6 na Darasa la 7. UMRI Watoto wenye umri kuanzia miaka mitatu(3) na kuendelea. SABABU ZA KUMPELEKA MWANAO SHULE BORA YA SHAKINA! Imesajiliwa na wizara ya elimu na kupewa usajili wa kudumu. Ni shule yenye misingi imara kufundisha kwa mfumo wa kiingereza . Ni shule bora yenye walimu wazuri kitaaluma na maadili mema. Ni shule yenye uongozi imara wa kusimamia mitaala ya elimu. Ni shule inayotilia mkazo taaluma na maadili mema. Ada ni ya kiwango kidogo sana na ni nafuu sana. Shule ina usafiri mzuri wa uhakika wa gari (school bus) kutoka mahali popote. WAHI SASA, HUJACHELEWA!!! Shule ipo Kikatiti...