Shakina Pre and Primary English Medium School

















Hii ni Shule ya Awali na Msingi SHAKINA, yenye namba ya usajili AR. 03/7/EA021 & AR. 01/7/021 iliyopo Kikatiti inawatangazia nafasi za
masomo kwa mwaka 2024
(DARASA LA AWALI HADI DARASA LA SABA)
NAFASI ZILIZOPO KWA MWAKA 2024 ni:-
Darasa la 1,
Darasa la 2,
Darasa la 3, Darasa la 4, Darasa la 5, Darasa la 6 na Darasa la 7.
UMRI
Watoto wenye umri kuanzia miaka mitatu(3) na kuendelea.
SABABU ZA KUMPELEKA MWANAO SHULE BORA YA SHAKINA!

  • Imesajiliwa na wizara ya elimu na kupewa usajili wa kudumu.

  • Ni shule yenye misingi imara kufundisha kwa mfumo wa kiingereza.

  • Ni shule bora yenye walimu wazuri kitaaluma na maadili mema.

  • Ni shule yenye uongozi imara wa kusimamia mitaala ya elimu.

  • Ni shule inayotilia mkazo taaluma na maadili mema.

  • Ada ni ya kiwango kidogo sana na ni nafuu sana.

  • Shule ina usafiri mzuri wa uhakika wa gari (school bus) kutoka mahali popote.

WAHI SASA, HUJACHELEWA!!!
Shule ipo Kikatiti, Magharibi mwa Mnada wa Kikatiti.
Kwa maelezo zaidi tafadhali karibu shuleni au tupigie:-
simu namba:-
..........................................

TANGAZO LA AJIRA
1.Accountant:-
  Hi, we are looking for the school bursar. certificate in accounting is required. Shakina Pre & Primary School-Kikatiti Arusha. Deadline 28/2/2022.Apply via whatsap 0620438086.

2.Teaching Post:-
Shakina English Medium inatangaza nafasi za
ajira ya ualimu kwa mwalimu wa
English na Mathematics,
Kwa mwalimu yeyote mwenye sifa hizo
atume maombi kwa barua pepe
hii
Au:
..............................................

............................................
Tangazo hili Limeandaliwa na Mwalimu Joachim Kweka, na Kuletwa kwako kwa Udhamini wa:
"http://nsurii.blogspot.com"

na Nsurii Tv
👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻





Maoni

  1. Hongereni walimu kwa matokeo mazuri ya darasa la SABA kwa mwaka 2020. Mungu awabariki Sana.

    JibuFuta
  2. Hongerini waalimu na uongozi kwa ujumla na mungu azidi kuwatia nguvu amina

    JibuFuta
  3. Hongerini waalimu na uongozi kwa ujumla na mungu azidi kuwatia nguvu amina

    JibuFuta
  4. Hongerini waalimu na uongozi kwa ujumla na mungu azidi kuwatia nguvu amina

    JibuFuta
  5. Hongera sana mkuu, kwa jitihada hizi naiona shakina secondary school soon

    JibuFuta
  6. Hongereni Sana uongozi na walimu wote kwa ujumla.
    Mnafanya kazi nzuri Sana.

    JibuFuta
  7. Taaluma mko vizuri.
    Mazingira yanavutia mno.
    Hongereni Sana Shakina.

    JibuFuta
  8. Hongereni sana walimu kwa matokeo mazuri ya darasa la nne 2021. Hakika kazi yenu inaonekana.

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Kikatiti Secondary School

Ujasiria mali na Maisha