Kikatiti Secondary School



Hii ni shule inayomilikiwa na KKKT Dayosisi ya Meru, ni miongoni mwa Shule zinazofanya vizuri sana Kitaaluma mkoani Arusha.









Uongozi wa shule ya Sekondari Kikatiti unapenda kuwatangazia wazazi na walezi wote kuwa kutakuwepo Nafasi za PC kwa wale waliomaliza kidato cha nne. Nafasi ni za kutwa na bweni kwa gharama nafuu sana. Njooni Kikatiti Sekondari Kukamilisha safari ya ndoto zako. KIKATITI SECONDARY SCHOOL, EDUCATION FOR BRIGHT FUTURE.
Nyote mnakaribishwa!!!!!!!












Mtambo wa kuchuja maji Kwa ajili ya wanafunzi Kupata maji safi na salama ya kunywa.


Wanafunzi wakiwa katika chumba cha mhadhara kwenye Somo la Sayansi

Wanafunzi wakijiandaa kwa mtihani.
Wanafunzi wakiwa katika Ibada ya Maombi ya kufungua Shule:-

Maktaba kwa ajili ya wanafunzi Kujisomea.




Tangazo la Nafasi za Masomo Kwa Mwaka 2024:-
Safari Yetu Song:-

Fungua Baba Song
New Song
Ujio wa Sconga katika Shule Yetu:-
Audio Song:-
Matokeo ya kidato cha nne 2023 haya hapa:-

Matokeo ya Kidato cha Pili 2023 haya Hapa:-
Matokeo ya Kidato cha nne 2022 haya Hapa:-
Matokeo ya kidato cha IV 2021:-
Matokeo ya kidato cha II
2021:-
Matokeo ya Kidato cha IV 2020:-
Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano 2021 Awamu ya Kwanza:-
Wanafunzi
Waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano 2021 Awamu ya pili:-
💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥
Tangazo hili limedhaminiwa na:




👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
Fungua Baba Song
Kikatiti Free style Song
Mahafali ya 27 Mwaka 2021
🌍🌍🌍🌍🌍🌍🌍🌍🌍🌍🌍

Maoni

  1. asanteni walimu kwa moyo wenu wa kujitolea

    JibuFuta
  2. Hata Mimi Nina mdogo wangu anasoma tuition hapo anasema wanafundisha vizuri sana.

    JibuFuta
  3. Chapisho hili limeondolewa na msimamizi wa blogu.

    JibuFuta
  4. Fomu za kujiunga form one 2018 zi sha anza kutoka wahi mapema nafasi ni chache

    JibuFuta
  5. Chapisho hili limeondolewa na msimamizi wa blogu.

    JibuFuta
  6. Hongereni walimu kwa kupeleka wanafunzi 86 kidato cha tano 2021.

    JibuFuta
  7. Mimi ni Mzazi wa mwanafunzi aliyemaliza Kidato cha nne mwaka jana hapo shuleni kwenu, kipekee napenda kuwashukuru walimu na uongozi wa shule kwa jumla kwa kazi nzuri mnayoifanya. Kwa kweli kazi yenu inaonekana. Pia niwapongeze kwa kuchaguliwa wanafunzi 89 kujiunga kidato cha tano mwaka huu wa 2021 kwani mwanangu ni miongoni mwao. Nipende kuwaomba muendee na moyo huohuo wa kufanya kazi kwa bidii kwani bado tuna imani kubwa na shule yenu. Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Shule ya Sekondari Kikatiti.
    Asanteni����������

    JibuFuta
  8. Hata Mimi Nina mtoto aliyehitimu hapo kwa kwelii hii shule Ina watumishi Bora zaidi.Niwapongeze kwa ufundishaji ulitukuka🙏.niwakaribishie wazazi wenzangu pelekeni watoto shule ya kikatiti mkibahatika kupata nafasi kwa kwelii shule inajua kule vemaa.. Hongereni sanaaa

    JibuFuta
  9. Hii shule ni nzuri mno, ina walimu waliobobea kwenye masomo yote

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Shakina Pre and Primary English Medium School

Ujasiria mali na Maisha