Students Corner



Kila mzazi angependelea mwanae afanikiwe katika masomo na kufaulu mitihani
yake. Pia kila mwanafunzi anahitaji KUFAULU katika mitihani yake.
Walimu nao hujisikia vizuri wakati wanafunzi wao wanapofanya vizuri
katika mitihani yao.
KUFAULU mtihani   ni muhimu kwa malengo   ya   mwanafunzi, kwani  
anaposhinda mitihani   humwezesha   kuwa na mtazamo   wa juu kielimu,
kwa mfano   KUPATA CHETI , DIPLOMA AU DIGRII, kitu ambacho  
humfanya afae kwenye   KAZI. Wakati   mwingine   inakuwa   ni vigumu
kwa baadhi ya WANAFUNZI kumudu MASOMO na mitihani yao.
WAKATI HUO HUO wapo   baadhi yao   ambao wao   KUFAULU  
MITIHANI si   tatizo
Sasa   mtu anaweza   kujiuliza , kwa nini WANAFUNZI   wengine  
WASHINDWE   na   wengine WAFAULU vizuri katika Masomo
NA MITIHANI yao ? MAFANIKIO katika   MASOMO na
KUFAULU MITIHANI   kunahitaji UWEZO WA ASILI,
KUFANYA   KAZI KWA BIDII   na KUFUATA   KANUNI  
NA MBINU ZA   KUSOMA.
Wanafunzi wengine huona   ugumu katika MASOMO na
KUFAULU MITIHANI , si kwa sababu hawana akili , bali hawafuati  
MBINU na KANUNI fulani   za KUSOMA na KUFAULU   MITIHANI. WANAFUNZI   wengi   wana uwezo   mzuri , kama   watajifunza  
mbinu hizi.Mbinu   na   kanuni   hizi zinazweza   kutumiwa   na wanafunzi
wa SHULE ZA   MSINGI , SEKONDARI , VYUO   na   hata  VYUO   VIKUU. 

KANUNI ZA   KUSOMA
1.Weka LENGO   maalumu la KUSOMA   kila siku na   litimize.
2.Jiandae kwa mtihani kila wakati , usingoje mwalimu   atangaze kuwa
ataleta mtihani ndipo usome. SOMA   KILA   SIKU.
3.Weka RATIBA ya kila   somo   na ifuate.
4.Tenga muda wa kutosha kwa kila somo.
5.Uwe na mahali maalumu pa kusomea.
6.Epuka kitu chochote kinachoweza kukufanya usisome   vizuri.
7.Tafuta mahali pasipo na kelele za aina   yoyote.
8.Usifanye mambo   mengi   kwa   wakati   mmoja.Kwa mfano,
MAPENZI au ANASA   ZA   KIMWILI wakati ungali mwanafunzi.
Hivyo   ni vikwazo masomoni.
9.Jijengee tabia   njema ya kujizuia katika tama za mwili.
10. Fanya   MAZOEZI ya mwili mara   kwa mara.
11.Jiwekee   MUDA   wa kutosha kila siku kwa ajili ya  kazi  
za   utoaji taarifa za   MASOMO   na PROJEKTI.
12.Ni   jambo   la busara kuwa na usiku mmoja wa kumpumzika
katika   juma ambayo si   Jumapili au   Jumamosi.
13.Ni muhimu   kujihusisha na watu wengine , jambo hili   litakufariji
kimawazo.
WAKATI   WA KUJISOMEA
14. Kabla hujaanza kujisomea , hakikisha kuwa   zana zote   muhimu
kwa kusomea zipo.
15.Epuka vishawishi vinavyoewza kukufanya uairishe KUJISOMEA.
16.Tafuta mahali pasipo na kelele za aina   yoyote.
17.Hakikisha   kuwa   mahali   pa kusomea   pana   mwanga wa kutosha.
18.Usisome   mambo mengi   kwa   wakati   mmoja.
19.Epuka   kusoma   hadi usiku   sana; utaharibu   afya   yako.
20.Jisomee katika   MUDA   unodhani unafaa zaidi.
21.Epuka   KUSOMA   ukiwa umejilaza kitandani.
22.Uwe na MUDA wa   KUPUMZIKA kila   unapochoka   KUSOMA.
23.Uwe   na   muda mwingi   wa KUJISOMEA kila   siku , usipoteze
MUDA kwa mambo yasiyo ya lazima kama vile   MAONGEZI.
UNAPOKUWA   SHULENI / CHUONI / DARASANI
FANYA YAFUATAYO
24. Fika   darasani kwa wakati unaotakiwa ili usikose MAAGIZO.
25. Usikose kipindi bila sababu   maalumu.
26.Wakati mwalimu   hajafika darasani , pitia yale uliyojifunza kipindi   kilichopita.Soma kazi   zako zote za darasani kabla ya kuanza   darasa.
27.Wakati Mwalimu anafundisha   darasani   SIKILIZA KWA MAKINI kile   anachofundisha na mwangalie   machoni mwalimu usiangalie pembeni .
28.Baada ya kipindi , pitia yale uliyojifunza.
29.Chunguza masomo   yako ili ujue udhaifu wako   uko wapi.
30.Jenga tabia   ya UVUMILIVU na kamwe usikate tama wakati ugumu   unapoibuka   masomoni.
31.Jenga tabia ya   kupania KUFAULU katika MASOMO yako. AMINI KUWA UTAFAULU.
32.Usiwe MWANAFUNZI wa kukaa   tu darasani, ULIZA na JIBU MASWALI yanapoulizwa.
33.Epuka kukaa   kimya na nyuma ya darasa , bali   shiriki katika   mazungumzo  ya darasani na wenzako.
34.Ni vizuri pia   kuwa   na   MWENZAKO wa   kujadili naye.
35.Uwe   MWANAFUNZI mdadisi wa   mambo kwa walimu na hata kwa wanafunzi wenzako   pia.
36. Wasilisha kazi   za darasani   kwa wakati   wake.
37.Unapokuwa na matatizo   kimasomo, mwone   mwalimu , anayehusika.
38.Hudhuria shughuli zote za shule nje ya darasani.
39. Jenga uhusiano mzuri kwa walimu wako na kwa wanafunzi   wenzako.Ukiwa na AMANI   moyoni , utasoma na kuelewa. JISTAHI   na KUWAPENDA walimu wako. Ukimpenda mwalimu utalielewa   vzuri   somo lake.
40.Epuka marafiki wabaya wenye nia ya kukupotosha.
41. Epuka POMBE , UVUTAJI WA SIGARA , BANGI na   MADAWA   YA KULEVYA.Huharibu ubongo na kudhoofisha afya.
KABLA YA MITIHANI     FANYA HAYA
42.Kabla ya   mtihani , SOMA   KWA BIDII SANA usingoje mtihani umekaribia ndipo usome.
43.SOMA kwa   mpangilio kila siku ili   KUJIANDAA   kikamilifu kwa     MTIHANI.
44.USIKU unaofuatiwa   na   siku ya   mtihani uwe na MUDA WA KUTOSHA WA KULALA.
KULALA.Usisome hadi usiku   wa manane.
SIKU YA MITIHANI   FANYA HAYA
45.Siku ya mtihani , usifikirie   kushindwa   bali uwe na   IMANI kuwa utashinda.ONDOA WASIWASI NA MASHAKA.
46.Wahi kwenye chumba cha mtihani kwani kuchelewa huleta HOFU.
47.Chukua vifaa vyote muhimu katika mtihani kama vile kalamu, penseli na rula.
48.Soma MAAGIZO YA MTIHANI kwa   uangalifu sana, na hakikisha uko makii kwa kile unchotakiwa   kufanya   kabla ya kujibu swali lolote
49. Kabla hujaanza kujibu maswali , angalia maswali ambayo ni rahisi kwako kujibu.
50.JIBU   maswali   rahisi kwanza na kwa haraka ili upate   MUDA wa   kutosha kujibu maswali magumu.
Asante   sana   wanafunzi wangu wa SHULE ZA MSINGI, SEKONDARI,   VYUO na VYUO VIKUU kwa   kusoma   makala hii nzuri sana.
     
Jifunze Mbinu zaidi za Kusoma na Kufaulu Vizuri Mitihani yako:-

MAMBO YA KUZINGATIA UKIWA KATIKA CHUMBA CHA MTIHANI

1.Muombe Mungu akutangulie katika kufanya mtihani wako.

2.Soma instruction kwa makini.

3.Soma swali zaidi ya mara moja kabla ya kulijibu/Usikurupuke.

4.Anza kufanya maswali unayoyaweza.

5.Uwe na vifaa vyako vyote i.e pen, pensel, rula, ufutio, n.k

6.Epuka kuingia na kitu chochote ambacho hakiruhusiwi kwenye chumba cha mtihani.

7.Usiogope swali hata kama lina maelezo marefu.

8.Epuka kuangalizia kwa mwenzio/Cheating, tumia akili yako mwenyewe.

9.Jitahidi kujibu maswali yote kulingana na maelekezo.

10.Ondoa hofu uwapo katika chumba cha mtihani.

11.Tumia muda vizuri.

12.Ikiwa umekutana na Vocabulary ngeni, izungushie halafu soma hiyo sentensi taratibu mwanzo hadi mwisho.


  MUNGU AKUBARIKI SANA.
All Teaching and learning Resources are Available Here:-
TIE Books From Std I to FVI:-

TIE Books Pdf:-
Form Five Joining Instructions 2021:-


Maoni

  1. Kupata mitihani ya taifa na matokeo ya mitihani tembelea www.maktabatetea.com

    JibuFuta
  2. Pia tembelea www.shuledirect.com, kupata material zaidi

    JibuFuta
  3. http://maktaba.tetea.org/

    JibuFuta
  4. Mkopo wa Mkopo kwa hatua yako ya mlango

    Je! Unahitaji mkopo wa haraka?
    Unahitaji mkopo wa biashara?
    Unahitaji mkopo kwa uwekezaji wako?
    Unahitaji mkopo kutoa fedha yako tatizo?
    Unahitaji mkopo wa kibinafsi?
    Unahitaji biashara ya mkopo na mkopo?

    Ili kujitambulisha mwenyewe, mimi ni Steven George mwenyekiti binafsi ninawapa mkopo kwa kiwango cha riba 3%. Ni fursa ya kifedha kwenye mlango wako hadi sasa na kupata mkopo wa papo hapo. Kuna wengi huko nje wanatafuta chaguzi za kifedha au kusaidia karibu na mahali na hawana uwezo wa kupata moja, lakini ni fursa ya kifedha kwenye hatua yako ya mlango na hivyo huwezi kukosa fursa hii. Huduma hii ni kwa watu binafsi, makampuni, wafanyabiashara na wanawake. Kiwango cha mkopo kinapatikana kutoka $ 1,000.00 hadi $ 500,000,000.00, au idadi yoyote ya chaguo lako kwa habari zaidi wasiliana nasi kwa: stevengeorge168@gmail.com

    Kama kusubiri majibu yako ya haraka,
    Kwa heshima, Steven George.

    JibuFuta
  5. Hi mimi ni WILLIAMS SARAH
    Je! Ungetesha mkopaji / mkopo? Je! Unahitaji mkopo? Je! Unahitaji msaada wa kifedha wa haraka? Unahitaji mikopo ya papo hapo ili kulipa madeni yako, au unahitaji fedha ili kuboresha biashara yako? Tunatoa kila aina ya mikopo na viwango vya riba 2% kwa watu binafsi na kampuni yenye masharti na masharti ya wazi. Ikiwa unatoa mikopo yoyote kwa marudio yoyote, tafadhali wasiliana na sisi leo ili kupata mikopo yako leo. Tutumie barua pepe: (williamssarahloanfirm@gmail.com)

    JibuFuta
  6. Hi, mimi ni Dorcas Alvaro, sasa ninaishi Malaga Hispania. Kwa wakati huu mimi ni mjane mwenye watoto wanne na nilikuwa nimekwama katika hali ya kifedha Mei 2018 na nilihitajika kurekebisha na kulipa bili yangu. Nilijaribu kutafuta mikopo kutoka kwa makampuni kadhaa ya mkopo, wote binafsi na ushirika, lakini kamwe haukufanikiwa, na benki nyingi zilipungua mkopo wangu. Lakini kama Mungu anavyotaka, niliambiwa na mtu wa Mungu, mkopo wa mkopo binafsi ambaye alinipa mkopo wa EUR 80,000 na leo nina biashara na watoto wangu ni nzuri wakati huu, ikiwa unapaswa kuwasiliana na yoyote kampuni kwa kuzingatia kuhakikisha mkopo usio na uhakika, hakuna hundi ya mikopo, hakuna sahihi na kiwango cha asilimia 2 tu na mipango bora ya malipo na ratiba, wasiliana na Mr Simon Finn (simonfinnloan.inc@gmail.com). hajui kwamba ninafanya hivyo, lakini ninafurahi sana sasa na nimeamua kuwa watu watajua zaidi juu yake na pia nataka Mungu ambariki zaidi. Unaweza kumsiliana naye kupitia barua pepe yake: SIMONFINNLOAN.INC@GMAIL.COM..

    JibuFuta
  7. LOAN OFFER !!!

    Sisi ni FIRAM LOAM FIRM sisi hutoa wote mrefu na muda mfupi mkopo fedha. Tunatoa mikopo salama na ya siri kwa kiwango cha chini cha riba ya asilimia 2 kwa mwaka, Mikopo ya kibinafsi, Mikopo ya Mkusanyiko wa Madeni, Mkopo wa Uwekezaji, Mkopo wa Biashara, Mkopo wa Mikopo, Mkopo wa Elimu, Mkopo wa Mikopo na Mikopo kwa sababu yoyote!

    Sisi ni mbadala inayoaminika kwa fedha za benki, na mchakato wetu wa maombi ni rahisi na moja kwa moja mbele. Mkopo wetu huanzia $ 5,000.00 hadi $ 25, 000,000.00. (Dola milioni ishirini na tano). Maelezo ya ziada: Sisi ni haraka kuwa uchaguzi wa faragha, wa busara, na huduma ya mikopo kwa jumla ya mikopo. Sisi ni kampuni ya kugeuka wakati vyanzo vya mikopo ya jadi kushindwa.

    Ikiwa una nia usifanye
      usisite kuwasiliana nasi na habari hapa chini kwa barua pepe, diamondloanfirm24@gmail.com

    Kudhibiti kwa joto,
    Mheshimiwa Matt Philips.
    Mkuu, Mikopo Idara ya Maombi,
    DIAMOND LOAN FIRM.
    Barua pepe: diamondloanfirm24@gmail.com

    JibuFuta
  8. TAFUTA MFARASHAJI WA MCHANGO

    Tatua Tatizo lako la Fedha Ndani ya Masaa 24.

                 Je, wewe ni Mmiliki wa Mshahara au Biashara?
          Pata kutoka kwa Euro 1,000 - 200,000, 000 Euro Mikopo ndani ya masaa 24

                   Suluhisho la Fedha Rahisi.

    Kwa Maswali zaidi wasiliana nasi kwa: immaculateloanprovidersltd@gmail.com
    Mkurugenzi Mtendaji: Bibi Benjamine
    au tembelea tawi letu: Level 29, Tiffany Tower, Jumeirah Lakes Towers Dubai. UAE


    Wasiliana nasi kwa: immaculateloanprovidersltd@gmail.com

                                  Asante

    JibuFuta
  9. Hi, Kim Morse, mwepesha fedha binafsi (Code360)
    Tunatoa mikopo kwa kiwango cha riba ya 2% kwa mwaka na kwa kiasi cha $ 10,000.00 hadi $ 500,000.00 na € 10,000.00 hadi € 500,000.00 kama kutoa mkopo. Mradi wa 100% unaofadhiliwa na mikopo ya usalama na isiyo salama inapatikana. Tumehakikishiwa kutoa huduma za kifedha kwa wateja wetu wengi ulimwenguni kote. Kwa vifurushi zetu vya mikopo rahisi, mikopo inaweza kusindika na fedha zinahamishiwa kwa akopaye katika siku 2. Tunafanya kazi kwa maneno wazi na inayoeleweka na kutoa mikopo ya kila aina kwa wateja wenye nia, makampuni, watu binafsi na wawekezaji wa mali isiyohamishika. Funga tu fomu hapa chini na kurudi kwetu kupitia barua pepe.
    Maelezo ya mtumiaji:
    Majina:
    Tarehe ya kuzaliwa:
    Jinsia.
    Hali yangu ya ndoa:
    Anwani:
    Mji:
    na Jimbo / Mkoa:
    Namba ya Posta /
    Nchi:
    Simu:
    Barua pepe yangu:
    kwa madhumuni ya mkopo:
    Kiasi cha mkopo:
    Kipindi cha mkopo:
    Mapato yako ya kila mwezi:
    Wasiliana na afisa wa mkopo kupitia Barua pepe: (Code360optionsloancompany@gmail.com) Na kwa habari, Wasiliana na anwani yetu ya wavuti: Code360optionsloancompany.com

    Kind regards,
    Bi Kim

    JibuFuta
  10. Do You Need A Loan To Consolidate Your Debt At 1.0%? SuiteCapitals@gmail.com ( SuiteCapitals@post.com ) Or A Personal Loans * Business Loans etc. Interested Parties Should Contact Us For More Information Through Via E-mail: SuiteCapitals@gmail.com ( SuiteCapitals@post.com )

    We Offers Financial Consulting To Client, SuiteCapitals@gmail.com ( SuiteCapitals@post.com ) Companies Seeking Debt / Loan Financing And Seeking For Working Capital To Start A New Business Or To Expand Existing Business. Interested Parties Should Contact Us For More Information Through Via E-mail: SuiteCapitals@gmail.com ( SuiteCapitals@post.com )

    Do You Need A Loan To Consolidate Your Debt At 1.0%? SuiteCapitals@gmail.com ( SuiteCapitals@post.com ) Or A Personal Loans * Business Loans etc. Interested Parties Should Contact Us For More Information Through Via E-mail: SuiteCapitals@gmail.com ( SuiteCapitals@post.com )

    We Offers Financial Consulting To Client, SuiteCapitals@gmail.com ( SuiteCapitals@post.com ) Companies Seeking Debt / Loan Financing And Seeking For Working Capital To Start A New Business Or To Expand Existing Business. Interested Parties Should Contact Us For More Information Through Via E-mail: SuiteCapitals@gmail.com ( SuiteCapitals@post.com )

    JibuFuta
  11. Siku njema,

      Kutafuta mkopo wa haraka? Wasiliana na UNICREDIT FAST LOAN sasa kwa shughuli yako ya haraka. Ni Rahisi Rahisi na Salama.

    INFORMATION CONTACT:

    EMAIL: unicreditfastloan@gmail.com

    Simu: +17815611941

    WHATSAPP: +2348146606842

    Shughuli ya mkopo unaweza kuamini.

    JibuFuta
  12. Are you an individual businessman or a business organisation that wishes to expand in business ??, we offer financial instrument such as BGs, SBLCs,MTNs, LCs, CDs and others on lease and sales at a rate of 4%+2% of the face value and reasonable conditionfrom a genuine provider. You are at liberty to engage our leased facilities into trade programs as well as in signatory project(s) such as Aviation, Agriculture, Petroleum, Telecommunication and any other project(s) etc.

    Contact : Mr. Raymond Doison
    Contact Email: crusaderbroker.bgassurance@gmail.com
    skype:crusaderbroker.bgassurance
    Whatsapp : +380 50 922 4887

    With our financial/bank instrument you can establish line of credit with your bank and/or secure loan for your projects in which our bank instrument will serve collateral in your bank to fund your project.

    We deliver with time and precision as set forth in the agreement. Our terms and Conditions are reasonable and we work directly with issuing bank lease providers, this instrument can be monetized on your behalf for upto 100% funding. Intermediaries/Consultants/Brokers are welcome to bring their clients and are 100% protected. In complete confidence, we will work together for the benefits of all parties involved.

    All relevant business information will be provided upon request.

    BROKERS ARE WELCOME & 100% PROTECTED!!!

    If Interested kindly contact me via

    Email:~ crusaderbroker.bgassurance@gmail.com

    Skype ID:crusaderbroker.bgassurance

    serious enquiry only.

    Genuine Provider for BG/SBLC(Bank Guarantee/Standby Letter of Credit)
    I am Direct Provider's Mandate of BG & SBLC Lease 100% protected.

    JibuFuta
  13. Témoignage d'un prêt entre particulier que je viens d’acquise chez Mme Laurence ,vraiment j'ai risquer ma vie pour trouver mon bonheur. Si votre demande de crédit est acceptée, chez Mme Laurence Nathalie BERTIER vous recevrez un e-mail : laurancebertier@gmail.com pour vous en informer et vous demander de signer électroniquement votre contrat de prêt.
    Vous recevrez alors la somme d’argent directement sur votre compte bancaire dans les 48h ; le libellé du virement contiendra (en général) Voici mon parcours que j'ai fais avant de trouver mon prêt des 45.000 euro.
    Vraiment pour tout vos besoins financièrement je vous pris de la contactez afin qu'elle puisse vous aider à résoudre vos problèmes. Voici son Email: laurancebertier@gmail.com

    JibuFuta
  14. Témoignage d'un prêt entre particulier que je viens d’acquise chez Mme Laurence ,vraiment j'ai risquer ma vie pour trouver mon bonheur. Si votre demande de crédit est acceptée, chez Mme Laurence Nathalie BERTIER vous recevrez un e-mail : laurancebertier@gmail.com pour vous en informer et vous demander de signer électroniquement votre contrat de prêt.
    Vous recevrez alors la somme d’argent directement sur votre compte bancaire dans les 48h ; le libellé du virement contiendra (en général) Voici mon parcours que j'ai fais avant de trouver mon prêt des 45.000 euro.
    Vraiment pour tout vos besoins financièrement je vous pris de la contactez afin qu'elle puisse vous aider à résoudre vos problèmes. Voici son Email: laurancebertier@gmail.com

    JibuFuta



  15. Hi everyone. I saw comments from people who already got their loan from challot and then I decided to apply under their recommendations and just few hours ago I confirmed in my own personal bank account a total amount of $30,000 which I requested for. This is really a great news and I am advising everyone who needs real loan to apply through their email (challotloan@gmail.com) I am happy now that i have gotten the loan I requested

    JibuFuta
    Majibu
    1. Congratulations and welcome again madam!!

      Futa
  16. Nafasi za Masomo
    http://nsurii.blogspot.com/2017/05/kikatiti-secondary-school.html

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Shakina Pre and Primary English Medium School

Kikatiti Secondary School

Ujasiria mali na Maisha